Katika pambano lililopewa jina, “Get Your Irish Up” kwenye St.
Patrick, Sergio Martinez alimtwanga Matthew Macklin kwa Knockout (KO) raundi ya
11 Jumamosi. Macklin, Muingereza ambaye wazazi wake ni wa Ireland, alikuwa
akishangiliwa mno na mashabiki kwenye ukumbi wa Madison Square Garden, lakini Martinez
alikuwa bora ulingoni. Cheki picha za pambano







.png)
0 comments:
Post a Comment