![]() |
| Machuppa |
Machuppa ameiambia bongostaz dakika kadhaa zilizopita kwamba alilazimika kufanya majaribio kwenye timu hiyo na baada ya kufuzu ndipo akapewa mkataba wa miaka mitatu.
"Maisha yanaendelea ndugu yangu, mkataba mzuri namshukuru Mungu, kinachofuata hapa ni kazi tu, naamini unaniaminia jembe lako, wewe subiri tu kuandika mabao nayofunga huku, nina ari mpya na nguvu mpya,"alisema.



.png)
0 comments:
Post a Comment