• HABARI MPYA

    Wednesday, March 06, 2019

    KANE AFUNGA BAO PEKEE SPURS YAIPIGA TENA DORTMUND

    Harry Kane akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Tottenham Hotspur dakika ya 48 ikiilaza 1-0 Borussia Dortmund katika mchezo wa marudiano hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Signal-Iduna-Park mjini Dortmund. Kwa matokeo hayo, Spurs inakwenda Robo Fainali kwa ushindi wa jumla wa 4-0 baada ya kushinda 3-0 na London kwenye mchezo wa kwanza   
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: KANE AFUNGA BAO PEKEE SPURS YAIPIGA TENA DORTMUND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top