• HABARI MPYA

  Sunday, March 10, 2019

  BAYERN YAPANDA KILELENI BUNDESLIGA BAADA YA KUSHINDA 6-0

  Robert Lewandowski (kulia) akifurahia baada ya kuifungia Bayern Munich mabao mawili dakika za 37 na 85 katika ushindi wa 6-0 dhidi ya Wolfsburg kwenye mchezo wa Bundesliga usiku wa Jumamosi Uwanja wa Allianz Arena mjini Munich. Mabao mengine yamefungwa na Serge Gnabry dakika ya 34, James Rodríguez dakika ya 52, Thomas  Müller dakika ya 76 na Joshua Kimmich dakika ya 82 na kwa ushindi huo, Bayern Munich inafikisha pointi 57 baada ya kuheza mechi 25 na kupanda kileleni mwa Bundesliga sasa ikiizidi kwa weastani wa mabao tu Borussia Dortmund inayofuatia nafasi ya pili 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BAYERN YAPANDA KILELENI BUNDESLIGA BAADA YA KUSHINDA 6-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top