• HABARI MPYA

  Saturday, March 09, 2019

  BARCELONA YAICHAPA RAYO VALLECANO 3-1 CAMP NOU

  Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia Barcelona bao la pili kwa penalti dakika ya 51 ikishinda 3-1 dhidi ya Rayo Vallecano kwenye mchezo wa La Liga usiku huu Uwanja wa Camp Nou. Mabao mengine ya Barcelona yamefungwa na Gerard Pique dakika ya 38 na Luis Suarez dakika ya 82, wakati bao pekee la Rayo Vallecano limefungwa na Raúl de Tomás dakika ya 24. Barcelona inafikisha pointi 63 baada ya ushindi huo katika mchezo wa 27, ikiendelea kuongoza La Liga kwa pointi saba zaidi ya Atletico Madrid inayofuatia katika nafasi ya pili 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BARCELONA YAICHAPA RAYO VALLECANO 3-1 CAMP NOU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top