• HABARI MPYA

    Wednesday, October 10, 2018

    TAIFA STARS WALIVYOFANYA MAZOEZI UWANJA WA TAIFA WA PRAIA LEO

    Wachezaji wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars wakiwa mazoezini Uwanja wa Taifa mjini Praia, Cape Verde jioni ya leo kujiandaa na mchezo wa Kundi L kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) dhidi ya wenyeji Ijumaa  
    Washambuliaji Thomas Ulimwengu (kulia) na Mbwana Samatta (kushoto)  
    Wachezaji wengine wa Taifa Stars wakivaa ili kuingia mazoezini 
    Kocha Msaidizi Emeka Amadi akiwa kwenye benchi Uwanja wa Taifa wa Praia 
    Marefa wa mchezo huo kutoka Mali, Boubou Traore, Drissa Kamory Niare na Baba Yomboliba wa Mali wakikagua Uwanja wa leo 
    Uwanja wa Taifa wa Praia ambao utatumika kwa mchezo wa Ijumaa
    Hapa ni wakati wachezaji wa Taifa Stars wanapanda basi kwenda hotelini baada ya kuwasili Praia 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: TAIFA STARS WALIVYOFANYA MAZOEZI UWANJA WA TAIFA WA PRAIA LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top