• HABARI MPYA

  Sunday, October 07, 2018

  SIMBA SC KAMBINI UFARANSA KABLA YA KWENDA KUWANG’OA WAALGERIA KOMBE LA CAF 1993

  Kikosi cha Simba SC tayari kwa mazoezi wakati wa kambi yake mjini Nice, Ufaransa mwaka 1993 kujiandaa na mchezo wa marudiano wa Robo Fainali ya Kombe la CAF mwaka 1993 dhidi ya wenyeji, USM El Harrach nchini Algeria. Simba SC ilikwenda kufungwa 2-0 na kufuzu Nusu Fainali kwa ushindi wa jumla wa 3-2 baada ya kushinda 3-0 awali Dar es Salaam. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SIMBA SC KAMBINI UFARANSA KABLA YA KWENDA KUWANG’OA WAALGERIA KOMBE LA CAF 1993 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top