• HABARI MPYA

  Sunday, October 07, 2018

  RONALDO AFUNGA LA PILI JUVENTUS YAICHAPA UDINESE 2-0

  Mshambuliaji Mreno wa Juventus, Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la pili dakika ya 37 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Udinese usiku wa jana Uwanja wa Dacia Arena katika mchezo wa Serie A. Bao la kwanza la Juve lilifungwa na Rodrigo Bentancur dakika ya 33 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: RONALDO AFUNGA LA PILI JUVENTUS YAICHAPA UDINESE 2-0 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top