• HABARI MPYA

  Thursday, October 04, 2018

  GRIEZMANN ALIPOFUNGA BAO LA 8000 LIGI YA MABINGWA ULAYA JANA

  Mshambuliaji Antoine Griezmann akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Atletico Madrid jana dakika za 28 na 67 katika ushindi wa 3-1 kwenye mchezo wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Club Bruges usiku wa jana Uwanja wa Wanda Metropolitano mjini Madrid, hilo likiwa bao la 8000 katika historia ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Bao lingine la la Atletico Madrid lilifungwa na Koke dakika ya 90 na ushei, wakati na Bruges lilifungwa na Arnaut Danjuma Groeneveld dakika ya 39 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: GRIEZMANN ALIPOFUNGA BAO LA 8000 LIGI YA MABINGWA ULAYA JANA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top