• HABARI MPYA

  Monday, June 04, 2018

  SINGIDA UNITED YAMSAJILI KIUNGO WA TANZANIA PRISONS

  Mkurugenzi wa Singida United, Sanga Festo (kulia) akimkabidhi jezi ya klabu hiyo kiungo mpya, Kazungu Mashauri waliyemsajili kutoka Tanzania Prisons ya Mbeya. Zoezi hili lilifanyika wiki iliyopita, lakini Singida wamemtambulisha mchezaji huyo leo  
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: SINGIDA UNITED YAMSAJILI KIUNGO WA TANZANIA PRISONS Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top