• HABARI MPYA

  Sunday, June 10, 2018

  GIROUD HATARINI KUZIKOSA FAIALI KOMBE LA DUNIA

  MSHAMBULIAJI Olivier Giroud yuko shakani kucheza Fainali za Kombe la Dunia za mwaka huu baada ya kichwani na kutokwa damu nyingi katika mchezo wa kirafiki dhidi ya Marekani.
  Giroud alimua baada ya kugongana kichwani na Matt Miazga wa Marekani katika mchezo wa kirafiki na Ufaransa Jumamosi jioni Uwanja wa Groupama mjini Décines-Charpieu.
  Mshambuliaaji huyo wa Chelsea na Ufaransa alitolewa uwanjani kipindi cha pili akiwa amezungushiwa plasta kichwani, huku mpinzani wake akiendelea kutokwa damu kwa wingi.
  Wachezaji wote wanahofiwa kupata maumivu makubwa na huenda wakakosekana Kombe la Dunia. Katika mchezo wa leo, Ufaransa walitangulia kwa bao la J. Green dakika ya 44, kabla ya Kevin Mbappe kuisawazishia Azam FC dakika ya 78. 


  Olivier Giroud akiwa amelala chini baada ya kugingana na Matt Miazga
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: GIROUD HATARINI KUZIKOSA FAIALI KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top