• HABARI MPYA

    Friday, June 15, 2018

    BAO LA KUJIFUNGA LAIZAMISHA MOROCCO KOMBE LA DUNIA

    Mchezaji wa Morocco, Amine Harit (kulia) akimtoka Omid Ebrahimi wa Iran wakati wa mechi ya Kundi B Kombe la Dunia leo Uwanja wa St Petersburg nchini Urusi leo. Iran imeshinda 1-0 bao la kujifunga na Aziz Bouhaddouz dakika ya 90 na ushei katika harakati za kuokoa 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: BAO LA KUJIFUNGA LAIZAMISHA MOROCCO KOMBE LA DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top