• HABARI MPYA

    Wednesday, October 18, 2017

    RONALDO ATAKA KUGOMBANA, REAL YABANWA NA SPURS BERNABEU, SARE 1-1

    Cristano Ronaldo wa Real Madrid (kulia) akimkaripia mchezaji wa Tottenham Hotspur, Jan Vertonghen (kushoto) jana Uwanja wa Santiago Bernabeu mjini Madrid, Hispania wakati wa mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya uliomalizika kwa sare ya 1-1.  Raphael Varane alianza kujifunga dakika ya 28 kabla ya Ronaldo kuisawazishia Real dakika ya 32 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: RONALDO ATAKA KUGOMBANA, REAL YABANWA NA SPURS BERNABEU, SARE 1-1 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top