• HABARI MPYA

  Monday, October 16, 2017

  ICARDI APIGA HAT TRICK INTER MILAN YAILAZA 3-2 AC MILAN

  Nahodha wa Inter Milan, Mauro Icardi akiwa amevua jezi kuwaonyesha mashabiki baada ya kufunga hat trick katika ushindi wa 3-2 wa Inter Milan usiku wa jana Uwanja wa Giuseppe Meazza au San Siro mjini Milan. Icardi alifunga dakika za 28, 63 na 90 kwa penalti ya utata wakati mabao ya AC Milan yalifungwa na Suso dakika ya 56 na Samir Handanovic aliyejifunga dakika ya 81 katika mechi kali ya Serie A ya mahasimu wa Jiji la Milan PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: ICARDI APIGA HAT TRICK INTER MILAN YAILAZA 3-2 AC MILAN Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top