• HABARI MPYA

    Saturday, October 14, 2017

    ARSENAL WABOMOLEWA 2-1 NA WATFORD VICARAGE ROAD LEO

    Tom Cleverley akikimbia kushangilia na Troy Deeney baada ya kuifungia Watford bao la ushindi dakika ya 90 na ushei wakiwafunga Arsenal 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Vicarage Road leo. Katikati ni mfungaji wa bao lao la Arsenal, Per Mertesacker dakika ya 39 akiwa ameshika kiuno. Bao la Kwanza la Watford lilifungwa na Troy Deeney kwa penalti dakika ya 71 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ARSENAL WABOMOLEWA 2-1 NA WATFORD VICARAGE ROAD LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top