• HABARI MPYA

    Sunday, October 22, 2017

    ABDUL MASHINE NA TWAHA HAMIDU KAMBINI SIMBA SC UFARANSA 1993

    Winga wa Simba, Abdul Ramadhani ‘Mashine’ (kushoto) na beki Twaha Hamidu ‘Noriega’ wakiwa mazoezini kwenye kambi ya Simba SC mjini Nice, Ufaransa mwaka 1993 kujiandaa na mchezo wa marudiano wa Robo Fainali ya Kombe la CAF dhidi ya wenyeji, USM El Harrach mjini El Harrach. Hata hivyo, Simba ilikwenda kufungwa 2-0 El Harrach ingawa ilisonga mbele kwa ushindi wa 3-2 baada ya kushinda 3-0 kwenye mchezo wa kwanza Dar es Salaam 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ABDUL MASHINE NA TWAHA HAMIDU KAMBINI SIMBA SC UFARANSA 1993 Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top