• HABARI MPYA

    Saturday, September 09, 2017

    REAL YALAZIMISHWA SARE NYUMBANI, 1-1 NA LEVANTE LA LIGA

    Nyota wa Real Madrid, Gareth Bale akimruka mchezaji wa Levante leo katika mchezo wa La Liga uliomalizika kwa sare ya 1-1 Uwanja wa Bernabeu.  Ivi Lopes alianza kuwafungia wageni dakika ya 12, kabla ya Lucas Vazquez kuwasawazishia wageni dakika ya 36 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: REAL YALAZIMISHWA SARE NYUMBANI, 1-1 NA LEVANTE LA LIGA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top