• HABARI MPYA

    Wednesday, September 13, 2017

    POGBA AUMIA MAPEMAAA, MAN UNITED YASHINDA 3-0 ULAYA

    Mshambuliaji Mbelgiji, Romelu Lukaku akishangilia baada ya kuifungia Manchester United bao la pili dakika ya 53 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya FC Basle jana Uwanja wa Old Trafford mjini Manchester kwenye mchezo wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Ulaya. Mabao mengine yalifungwa na Marouane Fellaini dakika ya 35 baada ya kuingia dakika ya 19 kuchukua nafasi ya Paul Pogba aliyeumia na Marcus Rashford dakika ya 84 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: POGBA AUMIA MAPEMAAA, MAN UNITED YASHINDA 3-0 ULAYA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top