• HABARI MPYA

  Wednesday, September 06, 2017

  FALCAO AINUSURU COLOMBIA KUPIGWA NYUMBANI NA BRAZIL

  Mshambuliaji wa Colombia, Radamel Falcao akishangilia baada ya kuifungia bao la kusawazisha timu yake dakika ya 56 katika sare ya 1-1 na Brazil jana Uwanja wa Metropolitano Roberto Melendez mjini Barranquilla katika mchezo wa kufuzu Kombe la Dunia kwa kanda ya Amerika Kusini, kufuatia Willian kuwafungia wageni bao la kuongoza dakika ya 45 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  Loading...
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: FALCAO AINUSURU COLOMBIA KUPIGWA NYUMBANI NA BRAZIL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top