• HABARI MPYA

  Thursday, March 09, 2017

  BARCA YAFANYA MAAJABU ULAYA, YAIPIGA PSG 6-1 CAMP NOU...YAENDA ROBO FAINALI

  Lionel Messi akishangilia na mashabiki wa nyumbani baada ya kuiongoza Barcelona kuitoa PSG katika hatua ya 16 Bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kufuatia ushindi wa 6-1 usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou kwenye mchezo wa marudiano. Mabao ya Barca jana yalifungwa na Luis Suarez dakika ya tatu, Layvin Kurzawa aliyejifunga dakika ya 40, Lionel Messi kwa penalti dakika ya 50 baada ya Neymar ambaye pia alifunga mawili dakika za 88 na 90 kwa penalti kuangushwa na Sergi Roberto dakika ya 90 na ushei wakati la PSG lilifungwa na Edinson Cavani dakika ya 62. Kikosi cha Luis Enrique kinasonga Robo Fainali kwa ushindi wa jumla wa 6-5, baada ya awali kufungwa 4-0 katika mchezo wa kwanza mjini Paris PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: BARCA YAFANYA MAAJABU ULAYA, YAIPIGA PSG 6-1 CAMP NOU...YAENDA ROBO FAINALI Rating: 5 Reviewed By: Bin Zubeiry Sports - Online

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top