Lionel Messi akishangilia na mashabiki wa nyumbani baada ya kuiongoza Barcelona kuitoa PSG katika hatua ya 16 Bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kufuatia ushindi wa 6-1 usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou kwenye mchezo wa marudiano. Mabao ya Barca jana yalifungwa na Luis Suarez dakika ya tatu, Layvin Kurzawa aliyejifunga dakika ya 40, Lionel Messi kwa penalti dakika ya 50 baada ya Neymar ambaye pia alifunga mawili dakika za 88 na 90 kwa penalti kuangushwa na Sergi Roberto dakika ya 90 na ushei wakati la PSG lilifungwa na Edinson Cavani dakika ya 62. Kikosi cha Luis Enrique kinasonga Robo Fainali kwa ushindi wa jumla wa 6-5, baada ya awali kufungwa 4-0 katika mchezo wa kwanza mjini Paris PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Group to Tinubu: Probe $1.5bn earmarked for Port Harcourt refinery repairs
-
From Okwe Obi, Abuja The Situation Room on Transparency and
Accountability, has urged President Bola Tinubu, to probe the US$1.5
billion budgeted for r...
28 minutes ago
0 comments:
Post a Comment