MAVUGO ALAMBA NUSU MILIONI YA UCHEZAJI BORA WA MWEZI SIMBA
Kocha wa makipa wa Simba, Iddi Salim (kushoto) akimkabidhi tuzo mshambuliaji wa timu hiyo, Laudit Mavugo (kulia) baada ya kuwa Mchezaji Bora wa klabu wa Janauri. Tuzo hiyo huambatana na zawadi ya Sh. 500,000
0 comments:
Post a Comment