• HABARI MPYA

  Thursday, April 13, 2023

  WAZIRI MKUU APOKEA KOMBE LA FOUNTAIN GATE BUNGENI LEO


  WAZIRI  Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na Mabingwa wa Soka  la Wanawake kwa Shule za  Sekondari Afrika, Timu ya Fountain Gate leo Aprili 13, 2023 jijini Dodoma.  Mabingwa  hao wa Ukanda wa CECAFA wamepata muwaliko wa kuingia Bungeni kutoka  kwa Waziri Mkuu Mhe.Kassim Majaliwa baada ya Kutwaa Ubingwa  huo hivi Karibuni nchini Afrika Kusini.
  Wengine katika picha ni Viongozi wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo wakiongozwa na Waziri Mhe. Dkt. Pindi Chana, Viongozi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania wakiongozwa na Rais Wallace Karia pamoja na Viongozi  na Benchi la Ufundi la Fountain Gate.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: WAZIRI MKUU APOKEA KOMBE LA FOUNTAIN GATE BUNGENI LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top