TIMU ya taifa ya Wanawake ya Tanzania, Twiga Stars imeanza vibaya ziara yake ya Algeria baada ya kuchapwa mabao 4-0 na wenyeji leo Uwanja wa Nelson Mandela mjini Baraki nchini humo.
Timu hizo zitarudiana Jumatano, lakini kesho zitamenyana timu za vijana chini ya umri wa miaka 20 za Algeria na Tanzania.
0 comments:
Post a Comment