• HABARI MPYA

  Wednesday, April 12, 2023

  NTIBANZOKIZA AMEHUSIKA KWENYE MABAO NENGI KULIKO WOTE MSIMU HUU


  KIUNGO Mrundi wa Simba SC, Saido Ntibanzokiza ndiye mchezaji aliyehusika kwenye mabao mengi zaidi katika msimu huu wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara hadi sasa.
  Ntibanzokiza ambaye Simba ni klabu  yake ya tatu nchini baada ya Yanga na Geita Gold - amehusika katika jumla ya mabao 19, akifuatiwa na mshambuliaji Mkongo wa Yanga, Fiston Kalala Mayele mabao 18. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: NTIBANZOKIZA AMEHUSIKA KWENYE MABAO NENGI KULIKO WOTE MSIMU HUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top