• HABARI MPYA

  Wednesday, April 12, 2023

  KWENYE ASSISTS TUKUBALIANE HAKUNA KAMA CHAMA

  KIUNGO Mzambia wa Simba SC, Clatous Chama ndiye anaongoza kwa kutoa pasi za kuwasaidia wenzake kufunga katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara hadi sasa msimu huu.
  Chama ana jumla ya assists 14, akifuatiwa na mchezaji mwenzake wa Simba, kiungo Saido Ntibanzokiza tisa, Ayoub Lyanga wa Azam FC saba, Sixtus sabilo wa Mbeya City sita sawa na Nicholas Gyan wa Singida Big Stars.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: KWENYE ASSISTS TUKUBALIANE HAKUNA KAMA CHAMA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top