• HABARI MPYA

  Sunday, May 01, 2022

  MAN CITY YAITANDIKA LEEDS UNITED 4-0 ELLAND ROAD


  MABINGWA watetezi, Manchester City wameibuka na ushindi wa 4-0 dhidi ya wenyeji, Leeds United katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Elland Road, Leeds, West Yorkshire.
  Mabao ya Man City yamefungwa na Rodri dakika ya 13, Nathan Ake dakika ya 54, Gabriel Jesus dakika ya 78 na Fernandinho dakika ya 90 na ushei.
  Kwa ushindi huo, Man City inafikisha pointi 83 na kuendelea kuongoza ligi kwa pointi moja zaidi ya Liverpool baada ya wote kucheza mechi 34. 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN CITY YAITANDIKA LEEDS UNITED 4-0 ELLAND ROAD Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top