• HABARI MPYA

  Jumatano, Septemba 04, 2019

  MWANTIKA APONA, AANZA MAZOEZI AZAM FC IKIJIANDAA KUMENYANA NA WAZIMBABWE KOMBE LA SHIRIKISHO

  Beki David Mwantika aliyekuwa majeruhi akifanya mazoezi baada ya kupona Azam FC ikijiandaa na mchezo wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Triangle United ya Zimbabwe Septemba 13 Uwanja wa Azam Complex, Chamazi mjini Dar es Salaam  
   Mshambuliaji mpya, Muiviry Coast, Richard D'jodi akiwa mazoezini naye wakati Azam FC kesho inatarajiwa kucheza mechi ya kirafiki dhidi ya Friends Rangers Uwanja wa Azam Complex
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MWANTIKA APONA, AANZA MAZOEZI AZAM FC IKIJIANDAA KUMENYANA NA WAZIMBABWE KOMBE LA SHIRIKISHO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top