• HABARI MPYA

  Jumatatu, Septemba 02, 2019

  BALE APIGA MBILI, ALIMWA NYEKUNDU REAL YATOA SARE TENA

  Gareth Bale (kulia) akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Real Madrid bao la kusawazisha dakika ya 86 katika sare ya 2-2 na wenyeji, Villarreal kwenye mchezo wa La Liga jana Uwanja wa De la Ceramica. Hata hivyo nyota huyo wa Wales alitolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 90 na ushei baada ya kuonyeshwa kadi ya pili ya njano katika mchezo ambao alifunga pia bao la kwanza la Real dakika ya 45 na ushei huku mabao ya Villarreal yakifungwa na Gerard Moreno dakika ya 12 na Moi Gomez dakika ya 74 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: BALE APIGA MBILI, ALIMWA NYEKUNDU REAL YATOA SARE TENA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry

  PATA HABARI POPOTE ULIPO. ZIKITUFIKIA ZITAKUFIKIA

  Scroll to Top