Mshambuliaji wa Arsenal, Pierre Emerick-Aubameyang akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la kusawazisha dakika ya 71 katika sare ya 2-2 na Tottenham Hotspur jana Uwanja wa Emirates kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Spurs ilitangulia kwa mabao ya Christian Eriksen dakika ya 10 na Harry Kane kwa penalti dakika ya 40 baada ya Son Heung-Min kuchezewa rafu kwenye boksi, wakati bao la kwanza la Arsenal lilifungwa na Alexandre Lacazette dakika ya 45 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
1 week ago



.png)
0 comments:
Post a Comment