Mshambuliaji wa Real Madrid, Karim Benzema akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Real Madrid dakika ya 23 na 56 katika ushindi wa 4-2 dhidi ya wenyeji, Celta Vigo kwenye mchezo wa La Lika usiku wa jana Uwanja wa Abanca-Balaidos mjini Vigo. Mabao mengine ya Real yalifungwa na Sergio Ramos kwa penalti dakika ya 83 na Dani Ceballos dakika ya 90 na ushei, wakati ya Celta Vigo yamefungwa na Hugo Mallo dakika ya 61 na Brais Mendez dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment