Javier Hernandez 'Chicharito' akiifungia West Ham United bao la kwanza dakika ya 38 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Watford leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa London. Bao la pili lilifungwa na Marko Arnautovic dakika ya 78 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment