WASHELISHELI WALIVYOWAWEKA WATU ROHO JUU LEO TAIFA!
Mashabiki wa soka wakifuatilia kwa utulivu mechi ya kwanza ya Raundi ya Kwanza ya Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya wenyeji, Yanga SC na Saint Louis jioni ya leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Yanga ilishinda 1-0
0 comments:
Post a Comment