Mshambuliaji Sergio Aguero baada ya kufunga mabao manne dakika za 48, 53, 77 na 90 katika ushindi wa 5-1 wa Manchester City dhidi ya Leicester City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Etihad. Bao la kwanza la Man City limefungwa na Raheem Sterling dakika ya tatu, wakati la Leicester City limefungwa Jamie Vardy dakika ya 24 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Revealed: Mason Greenwood's transfer price tag - and how Man United could
cash in - as Champions League giants hope to capitalise on chaos at
Marseille
-
Manchester United's summer transfer kitty could be boosted by a sell-on
clause for one of their former players.
3 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment