Mshambuliaji wa Arsenal, Mfaransa Alexandre Lacazette akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la nne dakika ya 22 katika ushindi wa 4-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya Crystal Palace leo Uwanja wa Emirates, London. Mabao mengine ya The Gunners yamefungwa na Nacho Monreal dakika ya sita, Alex Iwobi dakika ya 10 na Laurent Koscielny dakika ya 13, wakati la kufutia machozi la Palace lilifungwa na Luka Milovojevic dakika ya 78 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Another UTME candidate gets scholarship from Tinubu’s aide
-
By Zika Bobby Fortune has smiled on Miss Adetutu Blessing Osoba, from
Ado-Odo Ota Local Government Area in Ogun State, who obtained an aggregate
score of...
5 minutes ago
0 comments:
Post a Comment