Wayne Rooney akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Everton dakika ya 27 ikiwabwaga wenyeji, Newcastle United 1-0 Uwanja wa St James' Park usiku wa jana katika mchezo wa Ligi Kuu ya England huo ukiwa mwendelezo wa wimbi la ushindi chini ya kocha mpya, Sam Allardyce PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Cardiff seal bonus-point victory against Zebre
-
Cardiff continue their promising start to the United Rugby Championship
(URC) with a six-try 40-27 home victory against Zebre.
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment