• HABARI MPYA

  Wednesday, December 20, 2017

  MAN UNITED WAWAFUATA BRISTOL CARABAO CUP LEO

  Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho akiwaongoza wachezaji wake kupanda ndege kwa safari ya Bristol kwa ajili ya mchezo wa Robo Fainali ya Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup leo dhidi ya wenyeji, Bristol City ya ligi  ya Championship Uwanja wa Ashton Gate PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 comments:

  Item Reviewed: MAN UNITED WAWAFUATA BRISTOL CARABAO CUP LEO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top