• HABARI MPYA

  Jumamosi, Desemba 30, 2017

  CHELSEA YAFUNGULIA MBWA ENGLAND, YAICHAPA 5-0 STOKE CITY

  Willian akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la nne kwa penalti dakika ya 73 baada ya yeye mwenyewe kuangushwa na Geoff Cameron katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Stoke City leo Uwanja wa Stamford Bridge, London. Mabao mengine ya The Blues yamefungwa na Antonio Rudiger dakika ya tatu, Danny Drinkwater dakika ya tisa, Pedro dakika ya 23 na Davide Zappacosta dakika ya 88 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: CHELSEA YAFUNGULIA MBWA ENGLAND, YAICHAPA 5-0 STOKE CITY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top