• HABARI MPYA

  Jumanne, Desemba 26, 2017

  MAN UNITED YAPONEA CHUPUCHUPU KUPIGWA NA BURNLEY NYUMBANI

  Jesse Lingard akishangilia kishujaa baada ya kuifungia Manchester United mabao ya kusawazisha dakika za 53 na 90 na ushei ikitoka nyuma kwa 2-0 na kupata sare ya 2-2 dhidi ya Burnley katika mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Old Trafford. Burnley ilitangulia kwa mabao ya Ashley Barnes dakika ya tatu na Steven Defour dakika ya 36 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MAN UNITED YAPONEA CHUPUCHUPU KUPIGWA NA BURNLEY NYUMBANI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top