Lionel Messi akipiga ngumi hewani Uwanja wa Santiago Bernabeu baada ya kuifungia Barcelona bao la pili dakika ya 64 kwa penalti kufuatia Dani Carjaval kuuzuia kwa mkono mpira uliopigwa na Paulinho kwenye boksi katika ushindi wa 3-0 dhidi ya wenyeji, Real Madrid kwenye mchezo wa La liga leo. Mabao mengine ya Barca yalifungwa na Luis Suarez dakika ya 54 na Aleix Vidal dakika ya 90 na ushei. Real Madrid ilimaliza pungufu baada ya Dani Carjaval kutolewa kadi nyekundu dakika ya 63 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Quick impact projects: Army constructs, presents health centre to Edo community
-
The Nigerian Army on Friday in Unogbo community, Esan Central Local
Government Area of Edo, inaugurated and handed over the remodeled Unogbo
Primary Heal...
Dakika 39 zilizopita
0 maoni:
Chapisha Maoni