• HABARI MPYA

  Jumamosi, Desemba 23, 2017

  DK SHEIN ALIPOWAALIKA CHAKULA IKULU WACHEZAJI ZANZIBAR HEROES

  Rais wa Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa timu ya taifa ya visiwani humo, Zanzibar Heroes baada ya kupata nao chakula cha mchana Ijumaa kuwapongeza kwa kushika nafasi ya pili kwenye michuano ya CECAFA Challenge nchini Kenya 
  Rais Dk Ali Mohammed Shein akiwahutubia wachezaji wa Zanzibar Heroes
  Wachezaji wa Zanzibar Heroes wakijitilia chakula
  Wachezaji wa Zanzibar Heroes wakimskiliza Rais, Dk Ali Mohammed Shein 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: DK SHEIN ALIPOWAALIKA CHAKULA IKULU WACHEZAJI ZANZIBAR HEROES Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top