Harry Kane akikimbia kushangilia baada ya kufunga mabao matatu dakika za 22, 39 na 67 katika ushindi wa 5-2 wa Tottenham Hotspur dhidi ya Southampton leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Wembley. Mabao mengine ya Spurs yamefungwa na Delle Alli dakika ya 49 na Son Heung-Min dakika ya 51, wakati ya Southampton yamefungwa na Sofiane Boufal dakika ya 64 na Dusan Tadic dakika ya 82 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
18 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment