• HABARI MPYA

  Alhamisi, Desemba 21, 2017

  TIMU YA TAIFA YA UFUKWENI IKIJIFUA COCO KUJIANDAA NA MASHINDANO

  Timu ya Taifa ya Beach Soccer inaendelea na mazoezi kwenye Ufukwe wa Coco kujiandaa na mashindano ya kimataifa ya Copa Dar Es Salaam yatakayofanyika Desemba 25-26 mwaka huu kwenye Ufukwe wa Coco.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: TIMU YA TAIFA YA UFUKWENI IKIJIFUA COCO KUJIANDAA NA MASHINDANO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top