Kipa wa Simba, Athumani Mambosasa (sasa marehemu) akiruka kudaka mpira dhidi ya mshambuliaji wa Yanga, Kitwana Manara katika fainali ya Klabu Bingwa ya Taifa Agosti 10, mwaka 1974 Uwanja wa Nyamagana mjini Mwanza. Katikati ni beki wa Simba, Jumanne Hassan Masimenti (marehemu pia) akiwa tayari kutoa msaada. Yanga ilitoka nyuma kwa bao la Adam Sabu dakika ya 16 na kushinda 2-1 kwa mabao ya Gibson Sembuli (marehemu pia) dakika ya 87 na Sunday Manara dakika ya 97 katika mchezo uliodumu kwa dakika 120.
All you need to know about Champions League - and how to watch on BBC
-
The Champions League will follow a new format from 2024-25 - BBC Sport
explains what will change and what will stay the same.
23 minutes ago
0 comments:
Post a Comment