• HABARI MPYA

  Alhamisi, Desemba 28, 2017

  MILAN DERBY; CURTONE AWACHINJA INTER DAKIKA ZA NYONGEZA

  Patrick Cutrone (kulia) akipongezwa na wachezaji wenzake baada ya kuifungia AC Milan bao pekee la ushindi dakika ya 104 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya Inter Milan kwenye Robo fainali ya Coppa Italia jana Uwanja wa Giuseppe Meazza mjini Milan PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MILAN DERBY; CURTONE AWACHINJA INTER DAKIKA ZA NYONGEZA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top