• HABARI MPYA

  Jumatano, Desemba 27, 2017

  MKUTANO WA RAIS WA TFF NA WAHARIRI LEO SEASCAPE

  Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia (kushoto) akitazama simu yake pembeni ya makamu wake, Michael Wambura wakati wa mkutano na Wahariri wa vyombo vya Habari leo hoteli ya SeaScape, Kunduchi, Dar es Salaam 
  Kaimu Katibu Mkuu wa TFF, Wilfred Kidau (kushoto) akifuatilia mkutano. Kulia Mwenyekiti wa Chama cha Soka Dar es Salaam (DRFA)
  Wallace Karia (kulia) akiwa na Ofisa wa Macron wakati wa kusaini mkataba wa udhamini wa jezi za timu za taifa 
  Kulikuwa na sala maalum ya kumuombea kocha wa zamani wa timu ya taifa, Joel Bendera aliyefariki dunia mapema mwezi huu
  Waandishi wa Habari wakifuatilia jambo katika mkutano huo 
  Wahariri wa Vyombo vya Habari katika picha ya pamoja na viongozi wa TFF
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: MKUTANO WA RAIS WA TFF NA WAHARIRI LEO SEASCAPE Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top