• HABARI MPYA

  Jumatano, Desemba 27, 2017

  FIRMINO AFUNGA MAWILI LIVERPOOL YASHINDA 5-0 ENGLAND

  Roberto Firmino akiifungia bao la kwanza Liverpool dakika ya 52 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Swansea City usiku wa Jumanne Uwanja wa Anfield kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Firmino alifunga pia dakika ya 66, wakati mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na Philippe Coutinho dakika ya sita, Trent Alexander-Arnold dakika ya 65 na Alex Oxlade-Chamberlain dakika ya 82 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: FIRMINO AFUNGA MAWILI LIVERPOOL YASHINDA 5-0 ENGLAND Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top