• HABARI MPYA

  Jumapili, Desemba 31, 2017

  REKODI YA GUARDIOLA KUSHINDA MFULULIZO YAZIMWA SELHURST

  Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola akiwahamasisha wachezaji wake wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya Crystal Palace leo Uwanja wa Selhurst Park mjini London timu yake ikilazimishwa sare ya 0-0 baada ya wimbi la ushindi wa mechi 18 mfululizo PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: REKODI YA GUARDIOLA KUSHINDA MFULULIZO YAZIMWA SELHURST Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top