Kiungo wa Yanga, Pius Buswita akiivuta mpira ili kuinuka nao baada ya kuangushwa na mchezaji wa Reha FC, Abdul Hassan katika mchezo wa hatua ya 64 Bora michuano ya Azam Sports Federation Cup (ASFC)
Pius Buswita alianguka chini kabisa namna hii, lakini hakutaka kuupoteza mpira
Alifanikiwa kuinuka nao pamoja na kwamba Abdul Hassan aliendelea kuugombea
Tazama namna miguu ya Pius Buswita inavyoshirikiana kwenye mpira, akimtoka kwa chenga tamu Abdul Hassan
Hapa Pius Buswita anapongeza baada ya kuifungia Yanga bao la kwanza dakika ya 82 kabla ya kumsetia Amissi Tambwe kufunga la pili dakika ya 84 katika ushindi wa 2-0 jana
Pius Buswita tena hapa dhidi ya Mohammed Abdallah wa Reha FC
Pius Buswita akawekwa chini kwa rafu na Mohammed Abdallah na refa Heri Sasii anapuliza filimbi (kushoto)
Pius Buswita anapiga mashuti huku anakimbia kwa kais na hatua kubwa. Yanga wamepata mchezaji mwingine mzuri wa safu ya kiungo baada ya kumpoteza Haruna Niyonzima aliyehamia kwa mahasimu, Simba SC msimu huu
Commanders' Marcus Mariota Put on IR with Pectoral Injury; Driskel QB2
Behind Daniels
-
The depth of the Washington Commanders quarterback room has taken a hit
prior to Week 1. Tom Pelissero of NFL Network reported that backup
quarterback Marcus…
17 minutes ago
0 comments:
Post a Comment