• HABARI MPYA

  Jumamosi, Desemba 30, 2017

  LUKAKU AFUNGWA MASHINE YA KUPUMULIA BAADA YA KUUMIA

  Mshambuliaji wa Manchester United, Romelu Lukaku akitolewa nje huku amefungwa kifaa maalum cha kupumulia dakika ya 14 tu baada ya kuumia leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya Southampton Uwanja wa Old Trafford timu hizo zikitoka sare ya 0-0 PICHA ZAIDI GONGA HAPA 
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

  0 maoni:

  Item Reviewed: LUKAKU AFUNGWA MASHINE YA KUPUMULIA BAADA YA KUUMIA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
  Scroll to Top